Waislamu wanaamini katika vitabu vyote vya Kiungu, kulikuwa na vitabu vingi sana ..
👉 Mungu alituma kitabu kimoja baada ya kingine ili asahihishe ujumbe wake na kuubakisha duniani wakati wowote wanadamu wanapobadilisha ujumbe huo.
👉 Kwa hivyo kutokana na vitabu hivi (Torah- Zaburi, Injili, Qur'an), tunaamini kuwa Qur'an ndio kitabu cha mwisho ..
Kwa hivyo ndiyo kitabu pekee cha kuaminiwa sasa kwani kilikuja kusahihisha na kuonyesha njia sahihi baada ya vitabu vya zamani kubadilishwa, kurekebishwa na kuharibiwa maana yake na watu.
Inaeleweka?