Habari Karibu kwenye ukurasa wetu

Hapa tunaeneza ujumbe wa Uislamu

Uislamu unamaanisha kujisalimisha na kumuamini Mungu mmoja na kutii mafundisho yake

Mungu Mmoja ambaye hana washirika wala wana(watoto)

Kila mtu anayetii amri za Mungu ni Muislamu na manabii wote pamoja na Yesu walikuwa chini ya amri za Mungu.

Kwa hivyo Uislamu ni dini ya manabii wote

Waislamu wana uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wao bila mpatanishi (mtu wa kati) yeyote

Uislamu ni dini ya amani na uvumilivu

Tunamheshimu Yesu, amani ya Mungu iwe juu yake.

Furaha ya kweli inapatikana tu katika kumuabudu Muumba wetu.

Unamuamini Mungu Mmoja?