Je, unaweza kujibu maswali haya kabla ya kukuunga kwenye kikundi:👇🏽

👉🏽Yesu ni nani? 1.Mungu 2.Mwana wa Mungu 3.Mtume mtukufu ambae ni binadamu

👉🏽Tunamuabudu... 1.Muhammad 2.Allah 3.Yesu

👉🏽Muhammad ni nani? 1.Mwana wa Mungu. 2.Nabii wa mwisho wa Mungu